Al-Ankabuut 29:43 وتلك الامثال نضربها للناس وما يعقلها الا العالمون ٤٣
وَتِلۡكَ
ٱلۡأَمۡثَٰلُ
نَضۡرِبُهَا
لِلنَّاسِۖ
وَمَا
يَعۡقِلُهَآ
إِلَّا
ٱلۡعَٰلِمُونَ
٤٣
Na hiyo ni mifano tunawapigia watu, na hawaifahamu ila wenye ilimu.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na mifano hii tunawapigia watu , ili wanufaike nayo na wajifunze kwayo. Na hawaielewi isipokuwa wale wanaomjua Mwenyezi Mungu na kuzijua aya Zake na Sheria Zake.
Na mifano hii tunawapigia watu , ili wanufaike nayo na wajifunze kwayo. Na hawaielewi isipokuwa wale wanaomjua Mwenyezi Mungu na kuzijua aya Zake na S…