Al-A’laa 87:7 الا ما شاء الله انه يعلم الجهر وما يخفى ٧
إِلَّا
مَا
شَآءَ
ٱللَّهُۚ
إِنَّهُۥ
يَعۡلَمُ
ٱلۡجَهۡرَ
وَمَا
يَخۡفَىٰ
٧
Ila akipenda Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye anayajua yaliyo dhaahiri na yaliyo fichikana. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Isipokuwa iwapo Mwenyezi Mungu Ataka usahau kwa hekima na maslahi anayoyajua Yeye. Kwani Yeye ni Mjuzi wa yaliyo wazi na yaliyofichika, ya maneno na ya vitendo.
Isipokuwa iwapo Mwenyezi Mungu Ataka usahau kwa hekima na maslahi anayoyajua Yeye. Kwani Yeye ni Mjuzi wa yaliyo wazi na yaliyofichika, ya maneno na y…