Al-Balad 90:11 فلا اقتحم العقبة ١١
فَلَا
ٱقۡتَحَمَ
ٱلۡعَقَبَةَ
١١
Lakini hakujitoma kwenye njia ya vikwazo vya milimani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi ajiepushe na janga la Akhera kwa kutoa mali yake ili aokoke.