Al-Balad 90:3 ووالد وما ولد ٣
وَوَالِدٖ
وَمَا
وَلَدَ
٣
Na naapa kwa mzazi na alicho kizaa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Anaapa kwa mzazi wa wanaadamu, ambaye ni Ādam, amani imshukie, na kilichozalikana na yeye.