Al-Baqarah 2:1 الم ١
الٓمٓ
١
Alif Lam Mim. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
“Alif Lām Mīm” Herufi hizi na nyinginezo, miongoni mwa herufi zilizotajwa mwanzo wa sura, zinaashiria kuwa Qur’ani haigiziki. Washirikina waliwekewa biri walete kitu kama Qur’ani, wakashindwa kushindana nayo, paomoja na kuwa imebuniwa na herufi hizi hizi ambazo Waarabu wanazitumia. Kulemewa kwa Waar…
“Alif Lām Mīm” Herufi hizi na nyinginezo, miongoni mwa herufi zilizotajwa mwanzo wa sura, zinaashiria kuwa Qur’ani haigiziki. Washirikina waliwekewa b…