Al-Baqarah 2:12 الا انهم هم المفسدون ولاكن لا يشعرون ١٢
أَلَآ
إِنَّهُمۡ
هُمُ
ٱلۡمُفۡسِدُونَ
وَلَٰكِن
لَّا
يَشۡعُرُونَ
١٢
Hakika wao ndio waharibifu, lakini hawatambui. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hili wanalolifanya na kudai kuwa ni utengefu ndio uharibifu wenyewe, lakini wao, kwa ujinga wao na ujeuri wao, hawana hisia ya hilo.