Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Baqarah 2:152

2:152
فاذكروني اذكركم واشكروا لي ولا تكفرون ١٥٢
فَٱذْكُرُونِىٓ أَذْكُرْكُمْ وَٱشْكُرُوا۟ لِى وَلَا تَكْفُرُونِ ١٥٢
فَٱذۡكُرُونِيٓ
أَذۡكُرۡكُمۡ
وَٱشۡكُرُواْ
لِي
وَلَا
تَكۡفُرُونِ
١٥٢
Basi nikumbukeni nitakukumbukeni, na nishukuruni wala msinikufuru. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mwenyezi Mungu Aliyetukuka Amewaamrisha Waumini wamtaje Yeye na Akatoa ahadi kwa hilo malipo bora zaidi, nayo ni kumsifu yule anayemtaja Yeye mbele ya viumbe walioko juu. Pia Amewaamrisha Waumini wamshukuru Yeye Peke Yake kwa maneno na vitendo na wasizikanushe neema Zake juu yao.