Al-Baqarah 2:162 خالدين فيها لا يخفف عنهم العذاب ولا هم ينظرون ١٦٢
خَٰلِدِينَ
فِيهَا
لَا
يُخَفَّفُ
عَنۡهُمُ
ٱلۡعَذَابُ
وَلَا
هُمۡ
يُنظَرُونَ
١٦٢
Watadumu humo. Hawata-punguziwa adhabu wala hawatapewa muda wa kupumzika. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Watadumu kwenye laana na Moto. Hawatapunguziwa adhabu, wala hawatapumzishwa na kungojewa kwa udhuru wowote watakaoutoa.