Al-Baqarah 2:202 اولايك لهم نصيب مما كسبوا والله سريع الحساب ٢٠٢
أُوْلَٰٓئِكَ
لَهُمۡ
نَصِيبٞ
مِّمَّا
كَسَبُواْۚ
وَٱللَّهُ
سَرِيعُ
ٱلۡحِسَابِ
٢٠٢
Hao ndio watakao pata sehemu yao kwa sababu ya yale waliyo yachuma. Na Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wale wenye kuomba dua hii wana thawabu kubwa kwa sababu ya amali njema walizozichuma. Mwenyezi Mungu ni mwepesi wa kuvihesabu vitendo vya waja wake na Mwenye kuwalipa navyo.
Wale wenye kuomba dua hii wana thawabu kubwa kwa sababu ya amali njema walizozichuma. Mwenyezi Mungu ni mwepesi wa kuvihesabu vitendo vya waja wake na…