Al-Baqarah 2:244 وقاتلوا في سبيل الله واعلموا ان الله سميع عليم ٢٤٤
وَقَٰتِلُواْ
فِي
سَبِيلِ
ٱللَّهِ
وَٱعۡلَمُوٓاْ
أَنَّ
ٱللَّهَ
سَمِيعٌ
عَلِيمٞ
٢٤٤
Na piganeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na jueni kwamba Mwenyezi Mungu ni Msikizi na Mjuzi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na piganeni nao, enyi Waislamu, hao makafiri ili kuinusuru Dini ya Mwenyezi Mungu, na mjue kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyasikia maneno yenu na ni Mwenye kuzijua nia zenu na vitendo vyenu.
Na piganeni nao, enyi Waislamu, hao makafiri ili kuinusuru Dini ya Mwenyezi Mungu, na mjue kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyasikia maneno yenu na ni…