Al-Baqarah 2:52 ثم عفونا عنكم من بعد ذالك لعلكم تشكرون ٥٢
ثُمَّ
عَفَوۡنَا
عَنكُم
مِّنۢ
بَعۡدِ
ذَٰلِكَ
لَعَلَّكُمۡ
تَشۡكُرُونَ
٥٢
Kisha tukakusameheni baada ya hayo, ili mpate kushukuru. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha tukawasamehe kitendo hiki kibaya, tukakubali toba yenu baada ya kurudi Musa kwa kutarajia kuwa mtamshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema Zake na fadhila Zake juu yenu, na hamtaendelea kwenye ukafiri na uasi.
Kisha tukawasamehe kitendo hiki kibaya, tukakubali toba yenu baada ya kurudi Musa kwa kutarajia kuwa mtamshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema Zake na fadh…