Al-Baqarah 2:56 ثم بعثناكم من بعد موتكم لعلكم تشكرون ٥٦
ثُمَّ
بَعَثۡنَٰكُم
مِّنۢ
بَعۡدِ
مَوۡتِكُمۡ
لَعَلَّكُمۡ
تَشۡكُرُونَ
٥٦
Kisha tukakufufueni baada ya kufa kwenu, ili mpate kushukuru. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha tukawahuisha baada ya kufa kwenu kwa kimondo cha moto, ili muishukuru neema ya Mwenyezi Mungu kwenu. Kifo hiki kilikuwa ni adhabu kwao, kisha aliwafufua wakaendelea kuishi mpaka muda wao kumalizika.
Kisha tukawahuisha baada ya kufa kwenu kwa kimondo cha moto, ili muishukuru neema ya Mwenyezi Mungu kwenu. Kifo hiki kilikuwa ni adhabu kwao, kisha al…