Al-Baqarah 2:7 ختم الله على قلوبهم وعلى سمعهم وعلى ابصارهم غشاوة ولهم عذاب عظيم ٧
خَتَمَ
ٱللَّهُ
عَلَىٰ
قُلُوبِهِمۡ
وَعَلَىٰ
سَمۡعِهِمۡۖ
وَعَلَىٰٓ
أَبۡصَٰرِهِمۡ
غِشَٰوَةٞۖ
وَلَهُمۡ
عَذَابٌ
عَظِيمٞ
٧
Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu amewapiga muhuri nyoyo zao, masikizi yao na ameweka finiko juu ya macho yao ya kuonea kwa sababu ya ukafiri na ujeuri walionao, baada ya haki kuwabainikia. Mwenyezi Mungu hakuwaafikia kwenye uongofu. Wao watapata adhabu kali katika Moto wa Jahanamu.
Mwenyezi Mungu amewapiga muhuri nyoyo zao, masikizi yao na ameweka finiko juu ya macho yao ya kuonea kwa sababu ya ukafiri na ujeuri walionao, baada y…