Al-Baqarah 2:98 من كان عدوا لله وملايكته ورسله وجبريل وميكال فان الله عدو للكافرين ٩٨
مَن
كَانَ
عَدُوّٗا
لِّلَّهِ
وَمَلَٰٓئِكَتِهِۦ
وَرُسُلِهِۦ
وَجِبۡرِيلَ
وَمِيكَىٰلَ
فَإِنَّ
ٱللَّهَ
عَدُوّٞ
لِّلۡكَٰفِرِينَ
٩٨
Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail, basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenye kumfanyia uadui Mwenyezi Mungu, Malaika Wake, Wajumbe Wake ambao ni Malaika au binadamu, hasahasa Malaika wawili: Jibrili na Mikaili, huwa amemfanyia uadui Mwenyezi Mungu. Sababu Mayahudi walidai kwamba Jibrili ni adui wao na Mikaili ni rafiki yao. Mwenyezi Mungu Akawajulisha kwamba mwenye ku…
Mwenye kumfanyia uadui Mwenyezi Mungu, Malaika Wake, Wajumbe Wake ambao ni Malaika au binadamu, hasahasa Malaika wawili: Jibrili na Mikaili, huwa amem…