Al-Buruj 85:12 ان بطش ربك لشديد ١٢
إِنَّ
بَطۡشَ
رَبِّكَ
لَشَدِيدٌ
١٢
Hakika kutesa kwa Mola wako Mlezi ni kukali. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika malipizo ya Mola wako kwa maadui Zake na mateso Yake juu yao ni mazito.