Al-Fajr 89:22 وجاء ربك والملك صفا صفا ٢٢
وَجَآءَ
رَبُّكَ
وَٱلۡمَلَكُ
صَفّٗا
صَفّٗا
٢٢
Na akaja Mola wako Mlezi na Malaika safu safu, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Akaja Mola wako kutoa uamuzi kwa waja Wake hali Malaika wamepiga safu.