Al-Fajr 89:24 يقول يا ليتني قدمت لحياتي ٢٤
يَقُولُ
يَٰلَيۡتَنِي
قَدَّمۡتُ
لِحَيَاتِي
٢٤
Atasema: Laiti ningeli jitangulizia kwa uhai wangu! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Atakuwa akisema: ‘Laiti mimi nilitanguliza ulimwenguni amali zenye kunifaa katika maisha yangu ya Akhera’.