Al-Fajr 89:28 ارجعي الى ربك راضية مرضية ٢٨
ٱرۡجِعِيٓ
إِلَىٰ
رَبِّكِ
رَاضِيَةٗ
مَّرۡضِيَّةٗ
٢٨
Rejea kwa Mola wako Mlezi umeridhika, na umemridhisha. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Rudi kwa Mola wako hali ya kuridhika na takrima ya Mwenyezi Mungu kwako na hali ya kuwa Mwenyezi Mungu Ameridhika na wewe.