Al-Falaq 113:5 ومن شر حاسد اذا حسد ٥
وَمِن
شَرِّ
حَاسِدٍ
إِذَا
حَسَدَ
٥
Na shari ya hasidi anapo husudu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Na shari la hasidi mwenye kutukia watu, anapowahusudu na kuwadhuru, kwa kutaka neema za Mwenyezi Mungu Aliyewaneemesha ziwaondokee.»