Al-Fat-H 48:14 ولله ملك السماوات والارض يغفر لمن يشاء ويعذب من يشاء وكان الله غفورا رحيما ١٤
وَلِلَّهِ
مُلۡكُ
ٱلسَّمَٰوَٰتِ
وَٱلۡأَرۡضِۚ
يَغۡفِرُ
لِمَن
يَشَآءُ
وَيُعَذِّبُ
مَن
يَشَآءُۚ
وَكَانَ
ٱللَّهُ
غَفُورٗا
رَّحِيمٗا
١٤
Na Mwenyezi Mungu ndiye mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Humsamehe amtakaye, na humuadhibu amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ni ya Mwenyezi Mungu mamlaka ya mbingu na ardhi na vilivyoko baina ya hivyo viwili, Anamsamehe, kwa rehema Zake, Anayemtaka Akamfinikia dhambi zake, na Anamuadhibu, kwa uadilifu Wake, Anayemtaka. Na Mwenyezi Mungu, kutakasika na kutukuka ni Kwake, ni Mwingi wa kusamehe kwa anayetubia Kwake, ni Mwing…
Ni ya Mwenyezi Mungu mamlaka ya mbingu na ardhi na vilivyoko baina ya hivyo viwili, Anamsamehe, kwa rehema Zake, Anayemtaka Akamfinikia dhambi zake, n…