Al-Fat-H 48:2 ليغفر لك الله ما تقدم من ذنبك وما تاخر ويتم نعمته عليك ويهديك صراطا مستقيما ٢
لِّيَغۡفِرَ
لَكَ
ٱللَّهُ
مَا
تَقَدَّمَ
مِن
ذَنۢبِكَ
وَمَا
تَأَخَّرَ
وَيُتِمَّ
نِعۡمَتَهُۥ
عَلَيۡكَ
وَيَهۡدِيَكَ
صِرَٰطٗا
مُّسۡتَقِيمٗا
٢
Ili Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako yaliyo tangulia na yajayo, na akutimizie neema zake, na akuongoe katika Njia Iliyo Nyooka!
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Tumekufungulia ufunguzi huo na tukakufanyia sahali, ili Mwenyezi Mungu Akusamehe dhambi zako zilizotangulia na zitakazofanyika baadaye, kwa sababu ya utiifu mwingi ulioufanya unaotokana na ufunguzi huu na kwa usumbufu ulioubeba, na ili Akutimizie neema Zake kwako kwa kuipa ushindi Dini yako,
Tumekufungulia ufunguzi huo na tukakufanyia sahali, ili Mwenyezi Mungu Akusamehe dhambi zako zilizotangulia na zitakazofanyika baadaye, kwa sababu ya …