Al-Fat-H 48:23 سنة الله التي قد خلت من قبل ولن تجد لسنة الله تبديلا ٢٣
سُنَّةَ
ٱللَّهِ
ٱلَّتِي
قَدۡ
خَلَتۡ
مِن
قَبۡلُۖ
وَلَن
تَجِدَ
لِسُنَّةِ
ٱللَّهِ
تَبۡدِيلٗا
٢٣
Huo ndio mwendo wa Mwenyezi Mungu ulio kwisha pita zamani, wala hutapata mabadiliko katika mwendo wa Mwenyezi Mungu.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Huo ndio mpango wa Mwenyezi Mungu Alioupanga kwa viumbe Vyake hapo tangu kuwa Atawanusuru askari Wake na Atawashindisha maadui Wake, na hutapata, ewe Nabii, katika mipango ya Mwenyezi Mungu mabadiliko.
Huo ndio mpango wa Mwenyezi Mungu Alioupanga kwa viumbe Vyake hapo tangu kuwa Atawanusuru askari Wake na Atawashindisha maadui Wake, na hutapata, ewe …