Al-Fat-H 48:9 لتومنوا بالله ورسوله وتعزروه وتوقروه وتسبحوه بكرة واصيلا ٩
لِّتُؤۡمِنُواْ
بِٱللَّهِ
وَرَسُولِهِۦ
وَتُعَزِّرُوهُ
وَتُوَقِّرُوهُۚ
وَتُسَبِّحُوهُ
بُكۡرَةٗ
وَأَصِيلًا
٩
Ili mumuamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na mumsaidie, na mumhishimu, na mumtakase asubuhi na jioni.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
mpate kumuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, mumnusuru Mwenyezi Mungu kwa kuinusuru Dini Yake, mumtukuze na mumtakase mwanzo wa mchana na mwisho wake.
mpate kumuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, mumnusuru Mwenyezi Mungu kwa kuinusuru Dini Yake, mumtukuze na mumtakase mwanzo wa mchana na mwisho wake…