Al-Fatihah 1:2 الحمد لله رب العالمين ٢
ٱلۡحَمۡدُ
لِلَّهِ
رَبِّ
ٱلۡعَٰلَمِينَ
٢
Sifa njema zote ni za Mwenyeezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kila jinsi ya sifa njema ni ya Mwenyezi Mungu, Mwenye sifa ambazo zote ni za ukamilifu, Mwenye neema za nje na za ndani, za kidini na za kidunia. Na ndani yake kuna amri ya Mwenyezi Mungu kwa waja Wake wamsifu Yeye kwa kuwa Yeye Ndiye Mstahiki wa kusifiwa Peke Yake.
Kila jinsi ya sifa njema ni ya Mwenyezi Mungu, Mwenye sifa ambazo zote ni za ukamilifu, Mwenye neema za nje na za ndani, za kidini na za kidunia. Na n…