Al-Fatihah 1:3 الرحمان الرحيم ٣
ٱلرَّحۡمَٰنِ
ٱلرَّحِيمِ
٣
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwingi wa rehema Ambaye rehema Zake zimewaenea viumbe vyote, Mwenye kuwarehemu Waumini. Na majina mawili haya ni miongoni mwa majina ya Mwenyezi Mungu Aliyetukuka.
Mwingi wa rehema Ambaye rehema Zake zimewaenea viumbe vyote, Mwenye kuwarehemu Waumini. Na majina mawili haya ni miongoni mwa majina ya Mwenyezi Mungu…