Al-Fatihah 1:7 صراط الذين انعمت عليهم غير المغضوب عليهم ولا الضالين ٧
صِرَٰطَ
ٱلَّذِينَ
أَنۡعَمۡتَ
عَلَيۡهِمۡ
غَيۡرِ
ٱلۡمَغۡضُوبِ
عَلَيۡهِمۡ
وَلَا
ٱلضَّآلِّينَ
٧
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Njia ya wale uliowaneemesha miongoni mwa Manabii, wakweli wa imani, mashahidi na wema. Wao ndio watu wa uongofu na kusimama imara. Na usitufanye kuwa miongoni mwa wale waliofuata njia ya waliokasirikiwa, wale walioijua haki na wasiifuate kivitendo, nao ni Mayahudi na wale waliofanana na wao; wala us…
Njia ya wale uliowaneemesha miongoni mwa Manabii, wakweli wa imani, mashahidi na wema. Wao ndio watu wa uongofu na kusimama imara. Na usitufanye kuwa …