Al-Furqan 25:12 اذا راتهم من مكان بعيد سمعوا لها تغيظا وزفيرا ١٢
إِذَا
رَأَتۡهُم
مِّن
مَّكَانِۭ
بَعِيدٖ
سَمِعُواْ
لَهَا
تَغَيُّظٗا
وَزَفِيرٗا
١٢
Ule Moto ukiwaona tangu mahali mbali wao watasikia hasira yakena mngurumo wake. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Moto huo ukiwaona hawa wakanushaji Siku ya Kiyama, kutoka mahali mbali, watasikia sauti ya kuchemka kwake na mkoromo wake kwa ukali wa hasira zake kwao.
Moto huo ukiwaona hawa wakanushaji Siku ya Kiyama, kutoka mahali mbali, watasikia sauti ya kuchemka kwake na mkoromo wake kwa ukali wa hasira zake kwa…