Al-Furqan 25:22 يوم يرون الملايكة لا بشرى يوميذ للمجرمين ويقولون حجرا محجورا ٢٢
يَوۡمَ
يَرَوۡنَ
ٱلۡمَلَٰٓئِكَةَ
لَا
بُشۡرَىٰ
يَوۡمَئِذٖ
لِّلۡمُجۡرِمِينَ
وَيَقُولُونَ
حِجۡرٗا
مَّحۡجُورٗا
٢٢
Siku watakayo waona Malaika haitakuwa furaha siku hiyo kwa wakosefu. Na watasema: Mungu apishe mbali! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Siku watakapowaona Malaika wakati wa kufa kwao, na wakiwa ndani ya makaburi yao na Siku ya Kiyama, kwa sura ambazo sizo zile walizozitaka, sio kuwapa bishara ya Pepo, lakini kuwaambia, «Mwenyezi Mungu Ameifanya Pepo ni mahali palipoharamishwa kwenu.»
Siku watakapowaona Malaika wakati wa kufa kwao, na wakiwa ndani ya makaburi yao na Siku ya Kiyama, kwa sura ambazo sizo zile walizozitaka, sio kuwapa …