Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
25:22
يوم يرون الملايكة لا بشرى يوميذ للمجرمين ويقولون حجرا محجورا ٢٢
يَوْمَ يَرَوْنَ ٱلْمَلَـٰٓئِكَةَ لَا بُشْرَىٰ يَوْمَئِذٍۢ لِّلْمُجْرِمِينَ وَيَقُولُونَ حِجْرًۭا مَّحْجُورًۭا ٢٢
يَوۡمَ
يَرَوۡنَ
ٱلۡمَلَٰٓئِكَةَ
لَا
بُشۡرَىٰ
يَوۡمَئِذٖ
لِّلۡمُجۡرِمِينَ
وَيَقُولُونَ
حِجۡرٗا
مَّحۡجُورٗا
٢٢
Siku watakayo waona Malaika haitakuwa furaha siku hiyo kwa wakosefu. Na watasema: Mungu apishe mbali! 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadithi
Siku watakapowaona Malaika wakati wa kufa kwao, na wakiwa ndani ya makaburi yao na Siku ya Kiyama, kwa sura ambazo sizo zile walizozitaka, sio kuwapa bishara ya Pepo, lakini kuwaambia, «Mwenyezi Mungu Ameifanya Pepo ni mahali palipoharamishwa kwenu.»