Al-Furqan 25:23 وقدمنا الى ما عملوا من عمل فجعلناه هباء منثورا ٢٣
وَقَدِمۡنَآ
إِلَىٰ
مَا
عَمِلُواْ
مِنۡ
عَمَلٖ
فَجَعَلۡنَٰهُ
هَبَآءٗ
مَّنثُورًا
٢٣
Na tutayaendea yale waliyo yatenda katika vitendo vyao, tuvifanye kama mavumbi yaliyo tawanyika. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo tutayaleta yale waliyoyafanya yanayoonekana kuwa ni mazuri na ya kidini, tuyafanye ni yenye kubatilika na kupotea. Hayatawanufaisha na yatakuwa ni kama vumbi linalorushwa, nalo ni lile vumbi lembamba linaloonekana kwenye mwangaza wa jua. Hivyo ni kwamba matendo mema hayawi na manufaa yoyote huk…
Hapo tutayaleta yale waliyoyafanya yanayoonekana kuwa ni mazuri na ya kidini, tuyafanye ni yenye kubatilika na kupotea. Hayatawanufaisha na yatakuwa n…