Al-Furqan 25:24 اصحاب الجنة يوميذ خير مستقرا واحسن مقيلا ٢٤
أَصۡحَٰبُ
ٱلۡجَنَّةِ
يَوۡمَئِذٍ
خَيۡرٞ
مُّسۡتَقَرّٗا
وَأَحۡسَنُ
مَقِيلٗا
٢٤
Watu wa Peponi siku hiyo watakuwa katika makaazi bora na mahali penye starehe nzuri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Watu wa Peponi, Siku ya Kiyama, watakuwa na mahali pa kutulia bora zaidi kuliko watu wa Motoni, na watakuwa na mashukio mazuri kabisa. Raha yao imekamilika na starehe yao haitatangamana na chochote kile chenye kuharibu.
Watu wa Peponi, Siku ya Kiyama, watakuwa na mahali pa kutulia bora zaidi kuliko watu wa Motoni, na watakuwa na mashukio mazuri kabisa. Raha yao imekam…