Al-Furqan 25:28 يا ويلتى ليتني لم اتخذ فلانا خليلا ٢٨
يَٰوَيۡلَتَىٰ
لَيۡتَنِي
لَمۡ
أَتَّخِذۡ
فُلَانًا
خَلِيلٗا
٢٨
Ee Ole wangu! Laiti nisingeli mfanya fulani kuwa rafiki! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na atasema kwa maunguliko, «Laiti mimi sikumfanya fulani kuwa ni rafiki wa kumfuata na kumpenda.