Al-Furqan 25:38 وعادا وثمود واصحاب الرس وقرونا بين ذالك كثيرا ٣٨
وَعَادٗا
وَثَمُودَاْ
وَأَصۡحَٰبَ
ٱلرَّسِّ
وَقُرُونَۢا
بَيۡنَ
ذَٰلِكَ
كَثِيرٗا
٣٨
Na tuliwaangamiza kina A'di na Thamudi na watu wa Rass na vizazi vingi vilivyo kuwa kati yao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tuliwaangamiza hao ‘Ād, watu wa Hūd, na Thamūd, watu wa Ṣāliḥ, na watu wa Kisimani na watu wengine wengi waliokuwako baina ya watu wa Nūḥ, kina ‘Ād, kina Thamūd na watu wa Rass(hapo kisimani) hakuna awajuao isipokuwa Mwenyezi Mungu.
Na tuliwaangamiza hao ‘Ād, watu wa Hūd, na Thamūd, watu wa Ṣāliḥ, na watu wa Kisimani na watu wengine wengi waliokuwako baina ya watu wa Nūḥ, kina ‘Ād…