Al-Furqan 25:52 فلا تطع الكافرين وجاهدهم به جهادا كبيرا ٥٢
فَلَا
تُطِعِ
ٱلۡكَٰفِرِينَ
وَجَٰهِدۡهُم
بِهِۦ
جِهَادٗا
كَبِيرٗا
٥٢
Basi usiwat'ii makafiri. Na pambana nao kwayo kwa Jihadi kubwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi usiwatii makafiri kwa kuacha kitu chochote kile ambacho umetumilizwa nacho. Lakini fanya bidii yako katika kuufikisha ujumbe na upigane jihadi na wenye kuikanusha hii Qur’ani, kupigana jihadi kukubwa kusikochanganyika na udhaifu.
Basi usiwatii makafiri kwa kuacha kitu chochote kile ambacho umetumilizwa nacho. Lakini fanya bidii yako katika kuufikisha ujumbe na upigane jihadi na…