Al-Furqan 25:64 والذين يبيتون لربهم سجدا وقياما ٦٤
وَٱلَّذِينَ
يَبِيتُونَ
لِرَبِّهِمۡ
سُجَّدٗا
وَقِيَٰمٗا
٦٤
Na wale wanao kesha kwa ajili ya Mola wao Mlezi kwa kusujudu na kusimama. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na ambao wanaswali usiku kwa wingi wakimtakasia Mola wao wakiwa ndani ya Swala na wakijidhalilisha Kwake kwa kusujudu na kusimama.