Al-Furqan 25:65 والذين يقولون ربنا اصرف عنا عذاب جهنم ان عذابها كان غراما ٦٥
وَٱلَّذِينَ
يَقُولُونَ
رَبَّنَا
ٱصۡرِفۡ
عَنَّا
عَذَابَ
جَهَنَّمَۖ
إِنَّ
عَذَابَهَا
كَانَ
غَرَامًا
٦٥
Na wale wanao sema: Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu ya Jahannamu. Hakika adhabu yake ikimpata mtu haimwachi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na ambao, pamoja na kujibidiisha kufanya ibada, wanamuogopa Mola wao na kwa hivyo wanamuomba Awaokoe na adhabu ya Jahanamu, kwani adhabu yake inalazimiana na muadhibiwa.
Na ambao, pamoja na kujibidiisha kufanya ibada, wanamuogopa Mola wao na kwa hivyo wanamuomba Awaokoe na adhabu ya Jahanamu, kwani adhabu yake inalazim…