Al-Furqan 25:76 خالدين فيها حسنت مستقرا ومقاما ٧٦
خَٰلِدِينَ
فِيهَاۚ
حَسُنَتۡ
مُسۡتَقَرّٗا
وَمُقَامٗا
٧٦
Wadumu humo - kituo na makao mazuri kabisa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
hali ya kukaa milele humo bila ya kufa. Ni nzuri mno hiyo Pepo kuwa ni mahali pa wao kutulia na makao ya wao kukaa, hawatataka kuondoka hapo.