Al-Furqan 25:9 انظر كيف ضربوا لك الامثال فضلوا فلا يستطيعون سبيلا ٩
ٱنظُرۡ
كَيۡفَ
ضَرَبُواْ
لَكَ
ٱلۡأَمۡثَٰلَ
فَضَلُّواْ
فَلَا
يَسۡتَطِيعُونَ
سَبِيلٗا
٩
Tazama jinsi wanavyo kupigia mifano. Basi wamepotea, wala hawataiweza Njia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Tazama, ewe Mtume, namna walivyosema, hawa wakanushaji, juu yako maneno hayo ya ajabu yanayofanana na mifano kwa ugeni wake, ili wafikie kukukanusha, kwa hivyo wakawa mbali na haki, na kwa hivyo hawapati njia ya kuifikia (hiyo haki) ili wayarakibishe maneno waliyoyasema kuhusu wewe, ya urongo na uzu…
Tazama, ewe Mtume, namna walivyosema, hawa wakanushaji, juu yako maneno hayo ya ajabu yanayofanana na mifano kwa ugeni wake, ili wafikie kukukanusha, …