Al-Ghashiyah 88:17 افلا ينظرون الى الابل كيف خلقت ١٧
أَفَلَا
يَنظُرُونَ
إِلَى
ٱلۡإِبِلِ
كَيۡفَ
خُلِقَتۡ
١٧
Je! Hawamtazami ngamia jinsi alivyo umbwa? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani, hawa makafiri wenye kukanusha, hawaangalii ngamia namna walivyoumbwa kiajabu?