Al-Ghashiyah 88:23 الا من تولى وكفر ٢٣
إِلَّا
مَن
تَوَلَّىٰ
وَكَفَرَ
٢٣
Lakini anaye rudi nyuma na kukataa, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Lakini yule mwenye kuyapa mgongo makumbusho na mawaidha na akawa mkakamavu kwenye ukafiri wake,