Al-Ghashiyah 88:6 ليس لهم طعام الا من ضريع ٦
لَّيۡسَ
لَهُمۡ
طَعَامٌ
إِلَّا
مِن
ضَرِيعٖ
٦
Hawatakuwa na chakula isipo kuwa kichungu chenye miba. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Watu wa Motoni hawatakuwa na chakula isipokuwa kinachotoka kwenye mti wa miba ilioshikana na chini. Ni kibaya sana chakula hiko na ni kichafu mno.