Al-Ghashiyah 88:7 لا يسمن ولا يغني من جوع ٧
لَّا
يُسۡمِنُ
وَلَا
يُغۡنِي
مِن
جُوعٖ
٧
Hakinenepeshi wala hakiondoi njaa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakimnoneshi mwenye kukila, awapo amekonda, wala hakimuondolei njaa, awapo na njaa.