Al-Hajj 22:24 وهدوا الى الطيب من القول وهدوا الى صراط الحميد ٢٤
وَهُدُوٓاْ
إِلَى
ٱلطَّيِّبِ
مِنَ
ٱلۡقَوۡلِ
وَهُدُوٓاْ
إِلَىٰ
صِرَٰطِ
ٱلۡحَمِيدِ
٢٤
Na wataongozwa kwenye maneno mazuri, na wataongozwa kwenye Njia ya Msifiwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa hakika, Mwenyezi Mungu Aliwaongoza ulimwenguni kwenye neno zuri: tamshi la kumpwekesha Mwenyezi Mungu, kumshukuru na kumsifu, na huko Akhera wamshukuru Mwenyezi Mungu kwa mwisho mwema, kama vile Alivyowaongoza kabla ya hapo kufuata njia ya Uislamu inayosifiwa inayofikisha Peponi.
Kwa hakika, Mwenyezi Mungu Aliwaongoza ulimwenguni kwenye neno zuri: tamshi la kumpwekesha Mwenyezi Mungu, kumshukuru na kumsifu, na huko Akhera wamsh…