Al-Hajj 22:75 الله يصطفي من الملايكة رسلا ومن الناس ان الله سميع بصير ٧٥
ٱللَّهُ
يَصۡطَفِي
مِنَ
ٱلۡمَلَٰٓئِكَةِ
رُسُلٗا
وَمِنَ
ٱلنَّاسِۚ
إِنَّ
ٱللَّهَ
سَمِيعُۢ
بَصِيرٞ
٧٥
Mwenyezi Mungu huteuwa Wajumbe miongoni mwa Malaika na miongoni mwa watu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kuona. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake na kutukuka ni Kwake, Anateua, miongoni mwa Malaika, wajumbe kuwatuma kwa Manabii Wake, na Anateua kutokana na watu, wajumbe wakufikisha jumbe Zake kwa viumbe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia maneno ya waja Wake, Mwenye kuviona vitu vyote…
Mwenyezi Mungu, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake na kutukuka ni Kwake, Anateua, miongoni mwa Malaika, wajumbe kuwatuma kwa Manabii Wake, na Anate…