Al-Haqqah 69:11 انا لما طغى الماء حملناكم في الجارية ١١
إِنَّا
لَمَّا
طَغَا
ٱلۡمَآءُ
حَمَلۡنَٰكُمۡ
فِي
ٱلۡجَارِيَةِ
١١
Maji yalipo furika Sisi tulikupandisheni katika safina, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Sisi, maji yalipopita kipimo chake, mpaka yakawa juu na kuangatika juu ya kila kitu, tuliwabeba watu wa asili zenu pamoja na Nūḥ ndani ya jahazi ambayo ilikuwa ndio sababu ya kuokoka Waumini na kuzamishwa makafiri,
Sisi, maji yalipopita kipimo chake, mpaka yakawa juu na kuangatika juu ya kila kitu, tuliwabeba watu wa asili zenu pamoja na Nūḥ ndani ya jahazi ambay…