Al-Haqqah 69:16 وانشقت السماء فهي يوميذ واهية ١٦
وَٱنشَقَّتِ
ٱلسَّمَآءُ
فَهِيَ
يَوۡمَئِذٖ
وَاهِيَةٞ
١٦
Na mbingu zitapasuka, kwani siku hiyo zitakuwa dhaifu kabisa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na mbingu zitafanya ufa na ziwe dhaifu na kulegea Siku hiyo, hazitakuwa na mshikamano wala ugumu.