Al-Haqqah 69:27 يا ليتها كانت القاضية ٢٧
يَٰلَيۡتَهَا
كَانَتِ
ٱلۡقَاضِيَةَ
٢٧
Laiti mauti ndiyo yangeli kuwa ya kunimaliza kabisa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Natamani lau mimi sikupewa kitabu changu na sikujua malipo yangu! Natamani lau kile kifo nilichokufa duniani kilikuwa ndicho chenye kukata kabisa mambo yangu na nisifufuliwe baada yake!
«Natamani lau mimi sikupewa kitabu changu na sikujua malipo yangu! Natamani lau kile kifo nilichokufa duniani kilikuwa ndicho chenye kukata kabisa mam…