Al-Haqqah 69:3 وما ادراك ما الحاقة ٣
وَمَآ
أَدۡرَىٰكَ
مَا
ٱلۡحَآقَّةُ
٣
Na nini kitakujuulisha nini hilo Tukio la haki? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kitu gani kilichokujulisha wewe, ewe Mtume, na kukueleza uhakika wa Kiyama na kikakupa wewe picha ya janga lake na shida zake?