Al-Haqqah 69:42 ولا بقول كاهن قليلا ما تذكرون ٤٢
وَلَا
بِقَوۡلِ
كَاهِنٖۚ
قَلِيلٗا
مَّا
تَذَكَّرُونَ
٤٢
Wala si kauli ya kuhani. Ni machache mnayo yakumbuka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wala si tungo kama zile tungo za makuhani, ni kuchache mno kule kukumbuka kwenu na kutia akilini kuwa kuna tafauti baina ya mawili hayo.