Al-Haqqah 69:45 لاخذنا منه باليمين ٤٥
لَأَخَذۡنَا
مِنۡهُ
بِٱلۡيَمِينِ
٤٥
Bila ya shaka tungeli mshika kwa mkono wa kulia, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
tungalimtesa na tungalimkamata kwa nguvu na uweza, kwani nguvu ya kila kitu iko kwenye upande wake wa kulia,